Audio: ‘Hakuna tofauti yoyote msanii anapotengeneza wimbo Zanzibar au Bara’ – Producer Imami8

0

Kwa muda mwingi sana kuna baadhi ya wasanii na watangazaji wa vituo vya redio na TV husema kuwa Zanzibar hakuna muziki mzuri, watayarishaji wazuri na watangazaji wenye kufahamu muziki na mambo mengine.

imami8

Akiongea na Zenji255 Producer Mina8 anasema siku zote unaposema jambo usilolijua basi utakuwa hujitambui kwa sababu unapoenda katika studio Zanzibar au Bara kwani binadam, vifaa na lugha ni aina moja.

Msikilize hapa producer Mina8 na utupie maoni yako pia.