Audio: Didah azungumzia TV Reality show yake itakayoanza wiki ijayo

0

Tumeshuhudia mastaa mbali mbali nchini Tanzania wamekua wakija na ‘TV Reality Show’ katika Televisheni ili kuwaonyesha mashabiki zao mambo yanayo wahusu wao katika harakati zao za muziki na vitu vyengine wanavyofanya.

reality

Didah ni msanii wa kike anaefanya kazi za muziki katika visiwa vya zanzibar, ametangaza kuja na Kipindi cha televisheni kiitwacho¬†‘Harakati za Msanii’. Kipindi ambacho kitakuwa kinazungumzi maisha halisi ya wasanii wa nyumbani Zanzibar na nje pamoja kuwapa ‘sapoti’ wasanii.

Msikilize Didah hapa akizungumzia ujio huo.