Audio: Baada ya malalamiko ya ‘coming soon’ kumuumiza kichwa, Mantuzo afunguka kuhusu hilo

0

Kwa asilimia nyingi kama wewe ni mtembeaji katika mitandao ya kijamii na ni mfuatiliaji mzuri wa wasanii kutokea Zanzibar, basi hili neno la ‘Coming Soon’ lazima utakuwa ushaliona kwa baadhi ya hao wasanii na je limefanyiwa kazi neno hilo?

tuzzo

Hit maker wa ‘Furaha yangu’ Man tuzo akiwa amemshirikisha Barnaba Classic aliamua kuwakata kauli wale waliokua wakisema kuhusu kuchelewa kwa baadhi ya video zake. Mantuzo alishawahi kutamba na nyimbo kama Tawire, Mwambie atulie, Furaha yangu na nyinginezo.

Msikilize Mantuzo akiongeana Mkali Nesta