Angalia 5 bora ya makocha wa mpira miguu wanaovalia vizuri

0
5 bora

Katika maisha ya binadamu kupendeza ni jambo muhimu, na mara nyingi watu wanakuwa smart sana pale wanapotaka kwenda katika sehemu muhimu kama vile kazini, kwenye mikutano au mitoko ya kwenda kula bata. Lakini kwa makocha hawa wa mpira wa miguu ni tofauti kabisa, kwani kwao wao hupendeza hata wakiwa viwanjani wanapofanya kazi yao ya kuwalekeza wachezaji wa timu zao.

Hii hapa ni 5 bora iliyotolewa na mtandao FashionBeans ya makocha wanaopendeza wakiwa kazini.

1. Pep Guardiola

pepguardiola2

2. Roberto Mancini

robertomancini

3. Zinedine Zidane

zinedinezidane

4. Luis Enrique

luisenrique

5. Quique Sánchez Flores

sanchezflores