5 Bora: Msanii bora wa kiume (raundi ya 2)

0

Baada ya kumaliza raundi ya kwanza ya tuzo za Zenji255 Music Awards, endelea kumpigia kura msanii bora wa kiume kwa mwaka 2018/19 ili aweze kutwaa tuzo hizi. Hii fainali ya mwisho ambapo mshindi mmoja atapatiwa zawadi ya *tuzo na cheti*.

Mwisho wa kupiga katika raundi hii ya fainali ni tarehe 26 ambapo 27 matokeo yatatangazwa kupitia www.zenji255.com na mitandao yetu ya kijamii na makabidhiano ya zawadi yatakuwa tarehe 1 Machi 2019.

*=Zawadi nyingine kutangazwa baadae